6 w - Translate - Pemba Island, Tanzania.

Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipoifungua Skuli ya Msingi ya   Michakaini ,Wilaya Chakechake ,Mkoa wa Kusini Pemba tarehe 11 Januari 2025.