Trump Akiwa anasubiri kuapishwa ili awe Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump amesema kwamba Moja kati ya Jambo atakalolifanya ni Kuliomba Bunge La Nchi hiyo Kupitisha Muswada Wa Serikali ya Nchi hiyo Kuzitambua JINSIA Mbili tu ambazo ni Mwanamke Mwanaume, ambazo zitatambuliwa wakati wa kuzaliwa . “Ntaliomba Bunge kupitisha mswada kwamba jinsia pekee zinazotambuliwa na serikali ya Marekani ni wanaume na wanawake, na watatambuliwa wakati wa kuzaliwa” - TRUMP

image