Uko radhi kuamka mapema ili usichelewe kazini, lakini sio kuamka mapema kwa ajili ya kuswali Sala ya Alfajiri .Mola atuongoze