6 w - Translate

Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili na kukagua Timu zilizoingia Fainali la Kombe la Mapinduzi mwaka 2025 kati ya Zanzibar Heroes na Burkina Fasso katika Uwanja wa Gombani, Pemba 13 Januari 2025.

Michuano hii imeshirikisha Timu nne ikiwemo Kenya, Burkina Fasso, Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars.